Wednesday, October 22, 2008

LEO TENA SHUGHULI TUMEIPATA WEWE TU!!!

Mengi tunayoyazungumza kiburudani mambo leo, hekaheka za leo, nyumbani leo,chachandu la leo na mengi yanayoendelea katika maisha yetu ya kila siku.Urembo na mitindo, mapishi duuuuh yaani siwezi maliza karibu sana mwanakwetu

8 comments:

sweet said...

leo tena ipo juu tena sana big up sana Dina.its me elineka wa Arusha.

sweet said...

dina unanikosha kwenye kipindi chako cha leo tena, hasa kwenye heka heka, na chachandu kwakweli dina,gea na suzzy mmna nikosha. karibuni arusha.

conky said...

Jaman mi nikiikosa leo tena huwa sina aman kabisa..mpo juu jaman da Dina, Gea, na suzy...frm Greyc mikochen B

Unknown said...

kamua mdada,unanikonga sana nyumbani kwetu leo,ni mm prince chubby.

nalu said...

jamani hakuna kipindi kilicho na watangazaji walio zaliwa na fani ya utangazaji kama leo tena big up wapenzi its me anneth(nalu)wa kinyerezi

nalu said...

jamani hakuna watangazaji waliozaliwa na vipaji toka mioyoni mwao kma watangazaji wa leo tena bigup ni anneth(nalu)from kinyerezi

nalu said...

na enjoy bad nikmckiliza gea uongeza juhudi dada

Jacob said...

HABARI YA MWIZI WA MTOTO WA ROSE.

Labda makabrasha ya huyo mama kuwa na walakini na kujichanganganya kwenye maelezo ya mwanzo. kwanza hakutaja habari za ushiriki wake kwenye msiba aliouendea lakini madibira ipo wilaya ya Mbarali mkoani mbeya na inapakana na wilaya ya Mufindi mkoani Mbeya. kutoka madibira mpaka mpakani ni kama 6km. na njiani unapoelekea mufindi mojawapo ya vijiji unavyokutana navyo ni Igomaa. Igoma iliyotajwa Mbeya ni nyingine ipo karibu na mpaka wa mbeya na iringa lakini kwa upande wa makete. Hata hivyo huyo Mama mwingine nimeshindwa kuelewa ilikuwaje akakosa mahali pa kumuweka mtoto wake na kumpatia huyo mama asiyeaminika mtoto wake, nashangaa!!! Anna Jacob Mbeya